Home > Terms > Swahili (SW) > roho

roho

kanuni ya kiroho ya binadamu. roho iko chini ya fahamu na uhuru wa binadamu, roho na mwili pamoja hutengeneza hali ya ubinadamu. Kila nafsi ya binadamu ni ya mtu binafsi na isiyokufa, mara tu alipoumbwa na Mungu. roho haikufi na mwili, ambapo hutenganishwa kwa kifo, na ambayo itakuwa reunited katika ufufuo wa mwisho (363, 366;. cf 1703).

0
Adăugare la Glosarul Meu

Ce doriţi să spuneţi?

Trebuie să vă conectaţi pentru a publica în discuţii.

Termeni la ştiri

Termeni dezvoltaţi

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosare

  • 12

    Followers

Industrie/Domeniu: Comunicaţii mobile Categorie: telefoane mobile

uliodhabitiwa ukweli

Uliodhabitiwa ukweli (AR) ni teknolojia ambayo unachanganya ulimwengu halisi ya habari na picha ya kompyuta-yanayotokana na maudhui, na zimetolewa ...