Home > Terms > Swahili (SW) > Unyenyekevu

Unyenyekevu

maadili ambayo kwayo Mkristo anakubali kwamba Mungu ndiye mwanzilishi wa wema wote. Unyenyekevu huzuia tamaa au kiburi kupita kiasi, na hutoa msingi wa kugeukia Mungu kwa maombi (2559). Unyenyekevu kwa hiari unaweza kuelezwa "umaskini wa roho" (2546).

0
Adăugare la Glosarul Meu

Ce doriţi să spuneţi?

Trebuie să vă conectaţi pentru a publica în discuţii.

Termeni la ştiri

Termeni dezvoltaţi

DEBORA KAYEMBE
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosare

  • 7

    Followers

Industrie/Domeniu: Guvern Categorie: Alegeri S.U.A.

Iowa Kamati za Wabunge

Kamati za Wabunge Iowa ni mfululizo wa mikutano ya uchaguzi uliofanyika kwa wanachama wa ndani na chama cha siasa na kuchagua wajumbe kwa mkataba wa ...