Home > Terms > Swahili (SW) > Eid al-fitr

Eid al-fitr

Sikukuu ya Waislamu wakuthibitisha mwisho wa Ramadan, Waislamu hawasherehekei mwisho wa kufunga peke yake bali pia kumshukuru Mungu kwa usaidizi na nguvu aliowapa mwezi uliopita ambao iliwapa mazoezi ya kujizuia.

Hili tamasha huanza pindi tu mwezi mpya inapoonekana angani. Hali ya kusherehekea inaongezwa na kila mtu kuvaa nguo nzuri au manguo mpya, na kupamba nyumba zao.

Eid pia ni wakati wa msamaha na kurekebisha.

0
  • Parte de vorbire:
  • Sinonim(e):
  • Glosar:
  • Industrie/Domeniu: Festivaluri
  • Categorie:
  • Company:
  • Produs:
  • Acronim-abreviere:
Adăugare la Glosarul Meu

Ce doriţi să spuneţi?

Trebuie să vă conectaţi pentru a publica în discuţii.

Termeni la ştiri

Termeni dezvoltaţi

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosare

  • 1

    Followers

Industrie/Domeniu: Festivaluri Categorie: Crăciun

vipuzi

Aina ya vijitia inayometameta na mapambo,iliyotengenezwa siku za jadi kwa kutumia kioo, iliotumika katika mapambo ya Krismasi.